Kansela wa Ujerumani, Angela Markel na wakuu wa majimbo 16 nchini humo wamekubaliana kupunguza vikwazo vilivyokuwa vimewekwa kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona kwa kuruhusu viwanja vya michezo ya watoto, majengo ya makumbusho, makanisa na misikiti kufunguliwa https://t.co/fV79cfHta7
Leave a comment